\n\nMSANII ambaye ni mama wa watoto watatu Thea, amesema kuwa mchakato wa kuanza kutoa filamu zake umekamilika na sasa anaipeleka sokoni kazi yake ya 'Zawadi ya Christmas'.\n\nAlisema kazi hiyo amecheza kwa kiwango cha hali ya juu, ingawa msanii huyu hakueleza ni namna gani alivyotumia ubunifu ili kuwavutia mashabiki wake.\n\n"Filamu hiyo ni zawadi kwa mashabiki, najua inaweza kuwa na mapungufu kwani mimi nilicheza humo ni binadamu hivyo siwezi kuf... Read more..
Source : Dartalk.com MSANII wa filamu za kisiasa bongo na Afrika Mashariki, Steve Nyerere, amesema kuwa kazi yake ya'Respect Nyerere', imekamilika na inatarajiwa kuzinduliwa kwenye hoteli ya Serena, Aprili 14 mwaka huu. Akizungumza na mtandao wa DarTalk, msanii huyu alisema kitu kilichobakia katika filamu hiyo ni kutoa baadhi ya vipande ambavyo havitakiwi ili iweze kwenda sokoni ikiwa na maadili halisi ya... Read more..
Director : Steven Kanumba Mtunzi : Steven Kanumba starring STEVEN KANUMBA, JAMILA JAYLAWI, JALILAH JAYLAWI, CAthy rupia, abdul ahmed Read more..
MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu bongo, Aunty Fifii, baada ya kufanya vizuri na kazi ya 'Kizungumkuti', aliyoitoa mwaka jana, sasa anakamilisha nyingine mpya inayokwenda kwa jina la'Queen Spear'. Ndani ya filamu hiyo kutakuwa na wasanii kama Hemed Suleiman 'PHD',... Read more..